Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Tanzania Prisons baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika mchezo …
Sports Leo
Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025 ambapo imeibuka na Ushindi wa Goli 1-0 Dhidi ya timu ya Ulsan HD . …
-
Klabu ya Yanga sc ipo tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Tanzania Prisons utakaofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya jioni ya saa …
-
Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) linatarajia Kufanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Kwa mujibu …
-
Kungo mshambuliaji raia wa Burkina Faso Yacouba Songne ameifungulia mashtaka kwa shirikisho la soka nchini (TFF) klabu yake ya Tabora United kisa madai ya mishahara anayodai ya miezi 4 pamoja …
-
Klabu ya Azam Fc ipo katika hatua za mwisho kumalizana na kocha Frolent Ibenge kuchukua nafasi ya Rachid Taoussi kuifundisha klabu hiyo yenye makazi yake Chamazi jijini Dar es Salaam. …
-
Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) inatangaza tarehe rasmi ya uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika tarehe 16/08/2025 jijini Tanga. Kamati hiyo imetangaza kuwa …
-
Klabu ya Simba SC inafikiria kumrudisha tena golikipa Ayoub Lakred kurudi kuitumikia klabu hiyo kuelekea msimu ujao baada ya kutoridhishwa na kiwango cha kusuasua cha kipa Moussa Camara. Mpaka sasa …
-
Wachezaji wa timu ya KenGold FC kila mmoja anasafiri kivyake kwenda mkoani Tabora kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini dhidi ya Simba Sc utakaofanyika …
-
Bodi ya ligi kuu nchini imetangaza kuusogeza mbele mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baina ya Simba Sc na Yanga Sc mpaka juni 25 mwaka huu kwa …