Home Makala Arsenal Yaifunga Man utd

Arsenal Yaifunga Man utd

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Man united katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Emirates jijini London.

Arsenal waliandika bao la kwanza dakika ya 3 tu kutokana na makosa ya walinzi wa Man United kuokoa mpira wa krosi na kumkuta Bukayo Saka aliyepiga kiki lililopanguliwa na David De Gea na kumkuta mfungaji Nuno Tavares dakika ya 3 ya mchzo na kisha Bukayo Saka akafunga kwa penati dakika ya 32 na Ronaldo alisawazisha dakika mbili baadae na kwenda mapumziko matokeo yakiwa 2-2.

Granit Xhaka ndie aliyezima ndoto za Man utd kumaliza katika nafasi ya nne msimu huu baada ya kufunga bao dakika ya 70 liliwamaliza nguvu Man United na kuongeza pengo la alama mpaka alama 6 huku Arsenal wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited