Site icon Sports Leo

Bruno Fernandes,Mourinho Wabeba Tuzo

Staa wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes amebeba tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Novemba huku kocha wa klabu ya Tottenham Hotspurs Jose Mourinho nae akibeba tuzo hiyo kwa upande wa makocha.

Fenandes amekua na mchango bora sana tangu ajiunge na Manchester United kiasi cha kuwa tegemeo la klabu hiyo Mourinho akirejesha makali ya Tottenham kiasi cha kuwa juu ya msimamo wa Epl.

Exit mobile version