Home Makala Geita Gold Fc Yaihamishia Simba sc Kirumba

Geita Gold Fc Yaihamishia Simba sc Kirumba

by Sports Leo
0 comments

Klabu ya Geita Gold Fc imetangaza kuwa mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Simba sc utafanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini Mwanza badala ya ule wa Nyakumbu mkoani Geita.

Mchezo huo umehamishiwa Ccm Kirumba kutokana na ukubwa wa mchezo huo ambao utavutia mashabiki wengi kuingia uwanjani huku ukitarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili Mei 22.

Uwanja huo pia ulitumika katika mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga sc ambapo Geita Gold Fc ililala kwa 1-0 lililofungwa na Fiston Kalala Mayele.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited