Klabu ya Simba Sc imesafiri kuelekea nchini Algeria kuvaana na klabu ya Fc Constantine ya nchini humo katika mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo mastaa 22 wamesafiri.
Katika orodha iliyotolewa na klabu hiyo jina la kiungo Yusuph Kagoma halimo ambapo ameachwa kutokana na kusumbuliwa na majeraha.