Site icon Sports Leo

Kisa 8-2,Messi Ataka Kusepa Barcelona

Tetezi huko Hispania zinaeleza kuwa nyota wa kimataifa,Lionel Messi ametangaza kutimka zake Barcelona na tayari ameshawaeleza mabosi wake.

Sababu kubwa inayomfanya mshambuliaji huyo kutaka kuondoka ni kutokana na udhalilishwaji wa kuchapwa mabao 8-2 na Baryen Munich siku ya Ijumaa na kutolewa mazima kwa timu yao hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya.

Messi alitishia kugoma kusaini mkataba mpya hadi kujua muafaka wa usajili utakaofanyika Nou Camp kama utakuwa wa kueleweka lakini kwa sasa ameonyesha kutokuwa na subra tena hivyo anahitaji kuondoka haraka iwezekanavyo.

Exit mobile version