Home Makala Mino Raiola Afariki Dunia

Mino Raiola Afariki Dunia

by Sports Leo
0 comments

Wakala wa wachezaji maarufu Dunia Mino Raiola 54′ amefariki Dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa nyumbani kwake Roma nchini Italia.

Wakala huyo maarufu duniani anawasimamia wachezaji Erling Halaand wa Borrusia Dortmund,Paul Pogba wa Manchester United na Zlatan Ibrahimovich huku akisifika kwa kufanya dili kadhaa za hela ndefu kwa mastaa hao maarufu duniani.

Wakala huyo alizaliwa katika mji wa Nocera Inferiore, Italy mwaka  1967 na alihamia Haarlem nchini Uholanzi akiwa na familia mwaka uliofatia huku akikulia katika maisha ya mpira akiwa kama mchezaji na kisha kama wakala.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited