Site icon Sports Leo

Simba Sc Yapaa Nigeria

Timu ya Simba sc imesafiri kuelekea nchini Nigeria kucheza mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Plateau United ya nchini humo mchezo utaofanyika siku ya Ijumaa.

Kikosi hicho kimesafiri kikitokea jijini Arusha katika uwanja wa ndege wa Kia ambapo kitapitia nchini Ethiopia kisha kuingia Nigeria.

Exit mobile version