Sports Leo

Stars Yatajwa,Wapya Kibao

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania bara (Kilimanjaro stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya chalenji kimetajwa ambapo majina ya wachezaji wapya wamesheheni.

Kikosi hicho kitakachokua chini ya kocha mkuu Ettiene Ndayiragije kimesheni majina ya mastaa 32 huku pia baadhi ya majina mageni kama Mwita Gereza,Zawadi Mauya na Yusuph Mhilu huku pia Aishi Manula naye akirejeshwa baada ya kutokuwem0 kwa muda.

Kikosi kamili ni>>

Exit mobile version