Site icon Sports Leo

Azam Fc Yamkomalia Chikwende

Perfect Chikwende limekua jina maarufu nchini baada ya kufunga bao katika ushindin wa 1-0 ilioupata Fc Platnum katika mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya mtoano dhidi ya Simba sc uliofanyika katika uwanja wa taifa wa Harare nchini Zimbabwe.

Chikwende ameingia katika anga za Azam Fc ambao wametuma ofa ili kumsajili nwinga huyo mwenye kasi huku ikidaiwa Prince Dube mzimbabwe mwenzie ndie anatumika kumshawishi winga huyo kutua klabuni hapo.

Exit mobile version