Klabu ya Azam imeachana rasmi na kiungo mshambuliaji Never Tegere raia wa Zimbabwe na nafasi yake imechukuliwa na mshambuliaji mpya Idriss Illunga Mbombo ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili leo.
Mpaka sasa klabu ya Azam inawachezaji 10 wa kimataifa ambao ni wapya Charles Zulu (Zambia), Paul Katema (Zambia), Rodgers Kola (Zambia), Kenneth Muguna (Kenya) na Mbombo (DRC) wazamani ni Mathias Kingonya (Uganda), Prince Dube (Zimbabwe), Bruce Kangwa (Zimbabwe), Nico Wadada (Uganda) na Daniel Amoah (Ghana).
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.