Sports Leo

Caf Yatupilia Mbali Rufaa dhidi ya Simba sc

Shirikisho la soka barani Africa CAF limetupilia mbali Malalamiko ya klabu ya Al Merreck ya Sudan dhidi ya Simba kufuatia wachezaji wao kukutwa na Covid19 walipokuja kucheza jijini Dar es salam.

El merrekh ilipeleka malalamiko Caf ikidai kuwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo walipakaziwa kuwa na virusi vya Corona ili wasicheze mchezo huo ili kuifanya Simba sc ipate ushindi kirahisi zaidi.Soma Barua ya Caf waliyoitoa kuhusu suala hilo.

Exit mobile version