Site icon Sports Leo

Chama Aishika Kaizer Chiefs

Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika anavutiwa sana na kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chama
Kocha mkuu wa Kaizer Stuart Baxter amesema anamuhitaji kiungo huyo ili kuimalisha kikosi chake kwaajili ya kupigania mataji msimu ujao hususani ni ligi kuu ya Africa kusini PSL ambayo msimu huu hakuwa na mwenendo mzuri.
Taarifa zinaendelea kutanabaisha kuwa licha ya miamba hiyo ya soka ya Africa kusini kuvutiwa na kiungo huyo fundi lakini bado hawajaanza mchakato wowote wa kumsajili hivyo bado hawajapeleka ofa yoyote iliyopelekwa katika klabu yake ya Simba sc.

Exit mobile version