Site icon Sports Leo

Eymael Aomba Radhi Tena

Kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga, Luc Eymael, ameomba msamaha kwa wadau na wapenzi wa Mpira wa Miguu Afrika kufuatia kutoa maneno ya kiubaguzi (Kuwaita mashabiki wa Yanga ni nyani) kipindi akiwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga.

-ymael ambaye toka alipofukuzwa katika Klabu Yanga hajawahi kudumu katika Klabu yoyote ile kutokana na kashfa hiyo ya Maneno ya kibaguzi aliyoitoa katika Klabu ya Yanga, ameomba radhi kwa wadau wa soka na kusema kuwa yeye ni mmoja wa watu wanaopinga ubaguzi.

Exit mobile version