Site icon Sports Leo

”Fedha Ziko Salama” Karia Afunguka

Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuna taarifa itatolewa, hiyo ndiyo itaeleza kila kitu juu ya mechi ya Simba SC dhidi ya Yanga SC kusogezwa mbele hadi kuahirishwa, lakini kwa sasa hata yeye hajui nini kilitokea.
Karia amesema Kuhusu pesa za kiingilio za mashabiki, amesema ziko salama na hakuna atakayedhulumiwa Karia amesema Pesa haziko TFF ziko Serikalini, kwa kuwa zinakusanywa kwenye mfumo wa Serikali wa N Card, huko ziliko ziko kwenye mikono salama katika mfumo wa Kielektroniki na Kila aliyelipia kiingilio chake hatadhurumiwa kwa kuwa mfumo wa N Card unarekodi.

Exit mobile version