Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Mnigeria Odion Ighalo amejiunga na klab ya Al-Shabab ya Saudi Arabia akitokoea Shanghai Shenhua ya nchini China.
Hii ni baada ya mkataba wake na Man Utd wa mkopo kuisha ambapo aliitumikia klabu hiyo kwa msimu mmoja huku akicheza michezo 23 na kufunga mabao 5 katika michezo mbalimbali.
Hii ni baada ya mkataba wake na Man Utd wa mkopo kuisha ambapo aliitumikia klabu hiyo kwa msimu mmoja huku akicheza michezo 23 na kufunga mabao 5 katika michezo mbalimbali.
Awali ilitakiwa mchezaji huyo akaripoti nchini china katika klabu yake lakini mmiliki wa timu hiyo alimpa ruhusa staa huyo kuzungumza na Al shabab ili kukamilisha usajili wake.