Site icon Sports Leo

Juuko Kusalia Express

Beki wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Uganda Juuko Murshid, Ameanza mazungumzo na klabu yake ya Express FC ya Uganda kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia ndani ya klabu hiyo.

Juuko Msimu uliopita alisaini mkataba wa awali wa mwaka mmoja ulioisha tarehe 30 June 2021 na sasa klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu nchini Uganda ina mpango wa kumpa miaka miwili zaidi

Exit mobile version