Site icon Sports Leo

Luc Eymael Majanga Tupu

Klabu ya Chippa United imebadili mawazo juu ya ajira ya kocha Luc Eymael baada ya shirikisho la soka nchini humo (SAFA) Kuwatarifu kuwa Luc hana ruhusa ya kupewa leseni ya kazi nchini humo kutokana na adhabu aliyyopewa akiwa Tanzania.

Awal mwishoni mwa ligi kuu Tanzania bara msimu uliopita kocha Luc Eymael aliwatukana mashabiki wa Yanga sc wakati akiifundisha timu hiyo akitumia maneno ya lugha ya kibaguzi na kusababisha kutimuliwa nchini huku Tff ikimpa adhabu ambayo mpaka anaondoka hakuilipa.

Exit mobile version