Kocha wa timu Polisi Tanzania Malale Hamsini amesema katika kikosi cha Simba mchezaji yeyote anaweza kukufunga kuanzia Shomary Kapombe lakini pia hivi hauwezi kutaja timu 5 bora Africa usiitaje Simba SC Tanzania
“Simba hii mchezaji yoyote kuanzia kwa Kapombe anaweza kukufunga. Ukweli ni kwamba kwa sasa huwezi kutaja timu tano bora Afrika halafu uiache Simba, wamekamilika sana,” Malale Hamsini, Kocha Mkuu Polisi Tanzania.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.