Site icon Sports Leo

Maproo ligi kuu Bara sasa ni 12

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF)  limetangaza kuwa kuanzia msimu ujao wa ligi kuu soka Bara  idadi ya wachezaji wa kigeni watakaoruhusiwa kusajili kwenye vilabu shiriki ni 12.

Mabadiliko hayo yametangazwa hii leo na sasa kuanzia msimu ujao idadi ya wachezaji wa kigeni watakaoruhusiwa kuanza katika mchezo wa ligi kuu itakuwa ni 8 khu watano wakianzia benchi.

Idadi hiyo itaenda kuzinufaisha moja kwa moja timu za Simba,Yanga na Azam hasa katika mashindano ya kimataifa ukizingatia wapo katika harakati za usajili kuziimarisha timu zao.

Exit mobile version