Site icon Sports Leo

Mkude Kurejea Mzigoni Simba sc

Klabu ya Simba Sc Inataraji Kuanza Mazoezi Rasmi Hi Leo Baada ya Kumalizika kwa michuano ya Simba Super Cup ambayo waliibuka kidedea.

Katika mazoezi hayo ambayo yatafanyika katika viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo vya Mo Simba Arena inatarajiwa wachezaji karibuni wote watahudhuria akiwemo Jonas Mkude aliyekua amefungiwa na klabu hiyo kutokana na utovu wa nidhamu.

Meneja wa Klabu ya Simba Abbas Ally Amesema Kuwa “Tunaanza mazoezi leo na tunatarajia Mkude na yeye kuanza mazoezi”

Exit mobile version