Site icon Sports Leo

Morrison,Lokosa Kuikosa El Merrekh

Mshambuliaji wa klabu ya Simba, Benard Morrison hajaorodheshwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa mnyama ambacho jioni ya leo kitaelekea nchini Sudan kwa ajili ya mchezo Wao dhidi ya Al Merreick siku ya jumamosi ambao ni wa ligi ya mabingwa Afrika.

Nyota mwingine ambaye hadi leo mustakabali wake haujaeleweka hadi sasa ndani ya Simba ni Junior Lokosa Vilevile watakaokosekana kwenye msafara huo ni pamoja na Ibrahim Ame, na Said Ndemla.

Kikosi kamili kitakachosafiri ni wafuatao.

Aishi Manula,Beno Kakolanya,Ally Said,Shomari Kapombe,Joash Onyango,Pascal Wawa, Erasto Nyoni,Gadiel Michael,Mohamed Hussein,Jonas Mkude,Rally Bwallya.

Wengine ni Muzamiru Yassin,Luis Miquissone,Hassan Dilunga,Ibrahim Ajibu,Clatous Chama, Francis Kahata,Medie Kagere,John Bocco,Athuman Miraji,Chris Mugalu,Thaddeo Lwanga,Kennedy Juma,Peter Muduhwa na David Kameta.

Exit mobile version