Site icon Sports Leo

Msikieni Mbappe

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG Kylian Mbape amesema wachezaji wa timu ya Taifa hawapaswi kulipwa mishahara badala yake fedha hizo zitumike kwaajili ya maendeleo ya wananchi.
“Wachezaji hawapaswi kulipwa kwa kupigani timu zao za taifa. Fedha hizo zinaweza kutumiwa vizuri kwa ajili ya maendeleo ya raia wao kwa kutambua uaminifu na mchango wao kama wachezaji.” Alisema Mbape

 

Mbappe amekua na msimu mzuri kipindi hiki akisaidia timu ya Psg kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kuitoa timu ya Barcelona.

Exit mobile version