Site icon Sports Leo

Onyango Ahitajika Mamelod

Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara amethibitisha kuwa vilabu vikubwa vinahitaji saini ya beki wao wa Kati, Joash Onyango, baada ya kuonyesha kiwango kizuri toka alipojiunga na hiyo.
Manara amesema thamani ya Mchezaji huyo ni Ksh 100million (zaidi ya Bilioni 2 kwa pesa ya Tanzania), na watakuwa tayari kumuachia endapo itakuwepo Klabu ya kutoa dau hilo.
Moja ya klabu ambayo imeonesha nia ya kumuhitaji beki huyo kisiki wa miamba ya soka nchini, klabu ya
Simba SC Tanzania ni miamba ya soka nchini Africa kusini, klabu ya Orlando Parates.

Exit mobile version