Site icon Sports Leo

Straika la Maajabu Kutua Simba sc

Klabu ya Simba SC 🇹🇿 imeanza kuwania saini ya mshambuliaji wa Bouenguidi Sports, Junior Bayahno-Aubyang raia wa Gabon ili kujiweka fiti kuelekea msimu ujao.
 
Junior mwenye umri wa miaka 24, amefunga mabao 4 katika mechi 6 katika mechi za awali za Caf Champions League.
 
Hata hivyo Simba Sc wanatarajia kupata changamoto kutoka kwa vilabu vya Asec Mimosas, Tp Mazembe na Wydad Casablanca ambavyo navyo vimeonyesha nia ya kumhitaji.

Exit mobile version