Site icon Sports Leo

Yanga sc Kamili Kuivaa Namungo

Ikiwa tayari kikosi cha timu Yanga sc kimewasili wilayani Ruangwa ambapo leo kitawavaa Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu nchini benchi la ufundi la timu hiyo limesema wako kamili kwa mchezo huon utakaofanyika leo jioni.

Licha ya kuwakosa mabeki Abdalla Shaibu na Yassin Mustapha huku kiungo sukari Carlos Carlinhos nae akikosekana pamoja na Farid Mussa na Haruna Niyonzima,wachezaji wengine wako tayari kwa mchezo kwa mujibu wa mkuu wa kitengo cha  Habari cha klabu hiyo.

 

Exit mobile version