Site icon Sports Leo

Zimbwe Ajifunga Simba sc

Beki wa klabu ya Simba sc Mohamed Hussein amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo iliyomsajili akitokea Kagera Sugar.

Beki huyo alikua amebakisha miezi miwili katika mkataba wake wa awali na sasa amefanikiwa kumalizana na uongozi wa Simba sc kwa kusaini mkataba huo ambapo atachukua mshahara wa shilingi Milioni 10 kwa mwezi huku dau la usajili likiwa ni shilingi milioni 100 za kitanzania.

Exit mobile version