Site icon Sports Leo

Zuchu Kutumbuiza Simba Super Cup

Mrembo Zuhuru Kopa maarufu kama Zuchu anatarajiwa kutumbuiza katika kilele cha Simba super Cup siku ya jumapili ambako kutakua na mchezo kati ya Simba sc na Tp Mazembe utakaofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam.

Msanii huyo ametangazwa leo na klabu hiyo kama mtoa burudani mkuu katika mchezo wa mwisho katika michuano hiyo ilishirikisha timu tatu pekee ambapo bingwa atajishindia zawadi ya Tsh 15 milioni.

Exit mobile version