Tetesi za uwezekano wa Vinicius Jr kuondoka Real Madrid zimepamba moto, Vinicius Jr ataka mshahara wa Mbappe huku klabu hiyo ikionekana kutotaka kumlipa mshahara sawa na Kylian Mbappe. Hali hii …
michezo
-
-
Barcelona Wakosa Maamuzi kwa Ter Stegen Mvutano Mpya Camp Nou Barcelona wakosa maamuzi kwa Ter Stegen, bingwa wa Hispania, inajulikana kwa soka lao la kuvutia uwanjani na drama zisizoisha nje …
-
Arsenal wamsajili Viktor Gyokeres kutoka Sporting CP Arsenal wamsajili Victor Gyokeres. Hatimae, mashabiki wa Arsenal kote duniani, wanaweza kupumua kwa furaha! Klabu ya Arsenal imethibitisha rasmi kumsajili mshambuliaji hatari, Viktor …
-
Timu ya taifa ya wanawake ya England yashinda EURO 2025. Sarina Wiegman anastahili sanamu! Maneno haya yanaweza kuwa ndiyo muhtasari bora wa safari ya timu ya taifa ya wanawake ya …
-
Alexander Isak Atemwa Newcastle Ikienda Pre-season Tour: Ukweli Kuhusu Safari ya Asia na Tetesi za Usajili Mshambuliaji nyota wa Newcastle United, Alexander Isak atemwa kikosini, kikosi kitakachosafiri kuelekea Asia kwa …
-
Kylian Mbappe kupewa jezi namba 10 baada ya Modric kusepa Real Madrid, supastaa huyo wa Ufaransa kumrithi, huku klabu hiyo ikijiandaa kwa msimu wa 2025-26. Baada ya mwaka wake wa …
-
Pau Victor Akitimkia Braga kwa €15m. Miaka kadhaa iliyopita, vijana wengi barani Afrika, hasa Tanzania, walitamani kucheza soka la kulipwa Ulaya. Waliiota miamba kama Barcelona, klabu ambayo imejenga majina makubwa …
-
Mbeumo Asajiliwa Rasmi Manchester United kwa £71m: Klabu Ya Ndoto Yatimia! Bryan Mbeumo, nyota mwenye kasi na ufanisi kutoka Brentford, amekamilisha rasmi uhamisho wake wa kushangaza kwenda Manchester United kwa …
-
David de Gea agoma kurudi ligi kuu uingereza, kipa mahiri ambaye ameacha alama kubwa katika Ligi Kuu ya Uingereza, hivi karibuni alifafanua sababu zake za kukataa ofa mbalimbali kutoka vilabu …
-
Kichwa cha habari kinachoendelea kuchukua nafasi kubwa ni mustakabali wa mshambuliaji mahiri wa Newcastle United, Alexander Isak aanza mazungumzo na Al-Hilal. Taarifa za hivi pivi zinaonyesha kuwa vigogo wa Ligi …