Ferland Mendy, beki wa kushoto mwenye umri wa miaka 29, ameweka wazi azma yake ya kusalia Real Madrid na kupigania nafasi yake katika kikosi cha kwanza cha Xabi Alonso. Hii …
Real madrid
-
-
Tetesi za uwezekano wa Vinicius Jr kuondoka Real Madrid zimepamba moto, Vinicius Jr ataka mshahara wa Mbappe huku klabu hiyo ikionekana kutotaka kumlipa mshahara sawa na Kylian Mbappe. Hali hii …
-
Kylian Mbappe kupewa jezi namba 10 baada ya Modric kusepa Real Madrid, supastaa huyo wa Ufaransa kumrithi, huku klabu hiyo ikijiandaa kwa msimu wa 2025-26. Baada ya mwaka wake wa …
-
Baada ya kukatishwa tamaa kwenye Kombe la Dunia la Vilabu, kumeibuka sakata la Usajili Real Madrid ambapo inakabiliwa na kazi kubwa ya kujenga upya kikosi chake kwa ajili ya mafanikio …
-
Ushindi wa PSG Unathibitisha Ubovu wa Real Madrid Katika Jukwaa la Kimataifa Katika ulimwengu wa soka, michezo michache huonyesha mabadiliko ya nguvu kama vile pigo la PSG kwa Real Madrid …
-
Baada ya hatua ya 16 bora iliyojaa mshangao mkubwa kombe la dunia la vilabu 2025, PSG na Chelsea ni miongoni mwa timu nane zilizobaki zinazotumai kunyakua taji huko New Jersey …
-
Klabu ya Real Madrid imekubali kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa klabu ya Fc Barcelona katika mchezo wa ligi kuu ya soka nchini humo (La liga) uliofanyika katika uwanja wa …
-
Klabu ya Barcelona Fc imeibuka mabingwa wa kombe la mfalme la nchini Hispania (Copa De La Rey) baada ya kuifunga timu ya Real Madrid kwa mabao 3-2 katika mchezo mkali …
-
Klabu ya Real Madrid imeshindwa kutamba mbele ya Manchester City baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 na kutolewa katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya kwa jumla ya mabao …
-
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Tottenham na Real Madrid Gareth Bale amestaafu kucheza soka la ushindani rasmi kuanzia Jumatatu Januari 9 baada ya kutangaza taarifa hizo kupitia mitandao yake …