Dirisha la usajili barani ulaya 2025 la majira ya joto limefunga rasmi, likiwa limeacha simulizi nyingi za kusisimua na za kuhuzunisha. Hili lilikuwa ni dirisha lenye misukosuko mingi, ambapo klabu …
Usajili barani ulaya
-
-
Madrid na Vini Jr Bado Ngoma Ngumu Baada ya msimu wenye mafanikio makubwa kwa Real Madrid, ambao walishinda mataji kadhaa makubwa, sasa wanakabiliwa na changamoto mpya nje ya uwanja. Vinicius …
-
Newcastle wakataa Ofa ya Liverpool kwa Isak kulikoni? Siku za hivi karibuni, soko la usajili limekumbwa na msisimko mkubwa, hasa baada ya taarifa za klabu kubwa za Ligi Kuu ya …
-
SokaUlaya
Je Ollie Watkins ni Jibu Manchester United Safu Ya Ushambuliaji? Kisa cha Ollie Watkins (29)
Je Ollie Watkins ni Jibu Manchester United Safu Ya Ushambuliaji? Manchester United inaendelea kujaribu kurejesha heshima yake ya zamani, na moja ya changamoto kubwa inayokabili ni kutafuta mshambuliaji mfungaji bora. …
-
Inter Wakataa Kumuuza Bisseck kwa Crystal Palace Habari za uhamisho zimeendelea kutikisa soka barani Ulaya, na hapa Tanzania, mashabiki wa soka wanafuatilia kwa karibu matukio haya makubwa. Moja ya habari …
-
Bayern Munich Wamemnasa Luis Diaz: Ushirikiano Wenye Matumaini Makubwa Kwa muda mrefu sasa, klabu kubwa ya Ujerumani, Bayern Munich, imekuwa ikitafuta winga mpya mwenye uwezo wa kuleta mageuzi na ubunifu …
-
Barcelona Wakosa Maamuzi kwa Ter Stegen Mvutano Mpya Camp Nou Barcelona wakosa maamuzi kwa Ter Stegen, bingwa wa Hispania, inajulikana kwa soka lao la kuvutia uwanjani na drama zisizoisha nje …
-
Arsenal wamsajili Viktor Gyokeres kutoka Sporting CP Arsenal wamsajili Victor Gyokeres. Hatimae, mashabiki wa Arsenal kote duniani, wanaweza kupumua kwa furaha! Klabu ya Arsenal imethibitisha rasmi kumsajili mshambuliaji hatari, Viktor …
-
Alexander Isak Atemwa Newcastle Ikienda Pre-season Tour: Ukweli Kuhusu Safari ya Asia na Tetesi za Usajili Mshambuliaji nyota wa Newcastle United, Alexander Isak atemwa kikosini, kikosi kitakachosafiri kuelekea Asia kwa …
-
Kylian Mbappe kupewa jezi namba 10 baada ya Modric kusepa Real Madrid, supastaa huyo wa Ufaransa kumrithi, huku klabu hiyo ikijiandaa kwa msimu wa 2025-26. Baada ya mwaka wake wa …