Kinda wa klabu ya Atletico Madrid Joao Felix ametwaa tuzo ya mchezaji bora kwa wenye umri chini ya miaka 21 barani ulaya(Golden boy) akiwashinda mastaa kibao akiwemo Jadon Sancho wa Borrusia Dortmund.
Felix aliyeifungia mabao 18 timu ya Benfica msimu uliopita kabla ya kuhamia Atletico Madrid msimu katika majira ya joto kwa dau la paundi 113 milioni.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na Sancho huku ya tatu ikienda kwa kinda wa kijerumani Kai Haver anayeichezea Bayern Leverkusen.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.