Shirikisho la Soka nchini (TFF) limeamua kutumia waamuzi kutoka nje ya nchi katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc nchini baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc …
Sports Leo
Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Kinda wa kituruki Kenan Yildiz alifunga mabao mawili ambapo akiongoza Juventus ikipata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika Kombe la Dunia la Klabu (Club World Cup) …
-
Klabu ya Simba Sc imefanikiwa kuibuka na ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini uliofanyika katika uwanja wa Kmc Complex …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Dodoma Jiji Fc baada ya kuifunga kwa mabao 5-0 katika …
-
Klabu ya Flamengo Fc ya nchini Brazil imefanikiwa kuifunga klabu ya Chelsea kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kundi D uliofanyika jana usiku Philadelphia nchini Marekani. Chelsea ilipata bao la …
-
Hali ni tete katika kambi ya timu ya Tabora United kufuatia mastaa wa timu hiyo kutishia kugomea mchezo wa mwisho wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union mpaka pale madai …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Dodoma Jiji Ibrahim Ajibu amesimamishwa na uongozi wa klabu hiyo sambamba na golikipa wa klabu hiyo Allan Ngereka kwa utovu wa nidhamu kambini. Kwa mujibu …
-
Uwanja wa Taifa wa Kasarani uliopo jijini Nairobii nchini Kenya umechaguliwa kuwa uwanja utakaofanyika mchezo wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, ambalo linafanyika nchini Kenya,Tanzania na …
-
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za mataifa ya Afrika …
-
Klabu ya Kengold Fc imejikuta ikiambulia kichapo cha mabao 5-0 kutoka kwa Simba sc licha ya kuwa nyumbani katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Katika mchezo huo ambao …