Kategoria: Chan 2025
Kutoka Msoto Hadi Kuwa Star Clement Mzize 21
Kutoka Msoto Hadi Kuwa Star Clement Mzize Shujaa wa Taifa Usiku wa kihistoria katika uwanja wa Benjamin Mkapa, ambao ulifurika mashabiki, ulikuwa ni usiku wa mabadiliko makubwa. Jina la Clement Francis Mzize, staa kinda wa soka la Tanzania, liliingia katika vitabu vya historia ya soka la Afrika. Katika pambano la kundi A la mashindano ya…
Taifa Stars Robo Fainali kwa Kishindo CHAN 2024
Taifa Stars Robo Fainali kwa Kishindo Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa) imefanikiwa kunogesha kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Madagascar katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam siku…
Bafana Bafana Hali Tete
Timu ya Taifa ya Afrika kusini maarufu kama Bafana Bafana ilishindwa kufanikiwa kuwafunga timu ya Taifa ya Niger katika mchezo wao wa pili wa kundi D wa Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kupata sare ya 0-0 ambayo inaweza kuwa na matokeo mabaya kwa malengo yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya…
Kenya Yapigwa Faini Chan
Marrakech – Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limesema wasiwasi mkubwa kuhusu udhaifu wa usalama kwenye Uwanja wa Kasarani wakati wa mechi za Kenya katika Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, hasa baada ya matukio yaliyotokea wakati wa mechi ya Kenya dhidi ya Morocco Jumapili. Katika barua rasmi iliyoelekezwa kwa Kamati ya Maandalizi…
- 1
- 2
