www.sportsleo.co.tz

Pambano la Joshua na Fury Lipo Mashakani Baada ya Ajali ya Gari Nigeria

Pambano kubwa la ndondi duniani kati ya Anthony Joshua na Tyson Fury, lililokuwa likitarajiwa kufanyika mwakani, huenda likafutwa au kuahirishwa kufuatia ajali mbaya ya gari iliyomhusisha bondia Anthony Joshua nchini Nigeria. Ajali hiyo imetokea jana Jumatatu, Desemba 29, kwenye barabara kuu ya Lagos–Ibadan, na kusababisha vifo vya watu wawili waliokuwa wakisafiri naye. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi
Screenshot 20250128 174746 Instagram

Bondia Mnemwa Aomba Msaada

Kufuatia kupigwa na kujeruhiwa vibaya alipokua ulingoni katika pambano la ngumi la raundi nne dhidi ya Ally Sewe katika ukumbi wa Mrina Manzese Tiptop,bondia Mohammed Mnemwa ameita wadau kumsaidia gharama za matibabu katika Hospitali ya Muhimbili alipolazwa. Bondia huyo amelazwa baada ya vipimo vya CT Scan kuonyesha kuwa anasumbuliwa na tatizo la damu kuvilia katika…

Soma Zaidi
Screenshot 20250128 174746 Instagram

Ngumi Zamlaza Bondia Icu Muhimbili

Bondia wa Ngumi za Kulipwa nchini Tanzania Mohamedi Mnemwa amelazimika kupewa  rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa (Moi) kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia kwenye ubongo. Bondia huyo alipata tatizo hilo baada ya kupigwa kwa mapema raundi ya tatu na bondia Ally Msewe siku ya Januari 24 lakini…

Soma Zaidi
mwakinyo

Mwakinyo Huru

Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungulia bondia Hassan Mwakinyo kutoka kifungoni baada ya kufanyika kikao cha maridhiano baina ya kambi ya bondia huyo,Kamisheni na kampuni ya PAF Promotions ambayo ndiyo iliyopeleka malalamiko. Hapo awali bondia huyo alifungiwa mwaka mmoja na kamisheni hiyo sambamba na kupigwa faini ya shilingi milioni moja za kitanzania huku…

Soma Zaidi
Snapinsta.app 395397587 857948292997712 5556075380858284505 n 1080

Bondia Mtanzania Fadhili Majiha ‘Kiepe Nyani’ ambaye ni bingwa wa mkanda wa WBC Afrika ameweka rekodi ya kuwa Bondia wa kwanza nchini kupata hadhi ya nyota nne na nusu akivunja rekodi ya  mabondia Hassan Mwanyiko na Tony Rashid katika Mtandao wa maalumu wa Takwimu za mabondia wa Boxrec. Bondia huyo amefikia kiwango hicho wiki moja baada…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks