WhatsApp Image 2026 02 10 at 17.39.15 2

Gamondi Kusalia Stars Rasmi: Serikali Yamuidhinisha Miguel Gamondi Kuendelea Kuinoa Taifa Stars

Hatma ya benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, sasa imewekwa wazi baada ya Serikali kuthibitisha msimamo wake rasmi. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali imempitisha kocha Miguel Gamondi kuendelea kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars, hatua inayothibitisha wazi kuwa Gamondi kusalia Stars si tetesi…

Soma Zaidi
Senegal vs Morocco Fainali 1-0: Pape Gueye Azima Ndoto za Morocco na Kuwapa Senegal Ubingwa wa Kihistoria AFCON 2025 - sportsleo.co.tz

Senegal vs Morocco Fainali 1-0: Pape Gueye Azima Ndoto za Morocco na Kuwapa Senegal Ubingwa wa Kihistoria AFCON 2025

Usiku wa kuamkia leo, bara la Afrika limesimama kwa muda kushuhudia mtanange wa kukata na shoka uliopigwa katika dimba la Morocco. Mashabiki wa soka kote nchini Tanzania, kuanzia mitaa ya Kariakoo hadi kuta za “vibanda umiza” kule Mwanza na Mbeya, walikuwa na macho yao yote kwenye mchezo huu wa Senegal vs Morocco Fainali 1-0. Ilikuwa…

Soma Zaidi
Untitled design 14

Siku Ya Historia Afcon 2025: Mabingwa wa Afrika Wakutana,Urithi wa Soka la Bara la Afrika Ukiandikwa Upya.

Leo ni siku adimu na ya kihistoria kwa soka la Afrika. Siku ambayo kalenda ya AFCON 2025 imeandika mstari mzito: wachezaji wote watano waliowahi kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika tangu 2017 wanakutana uwanjani katika mechi mbili za nusu fainali zitakazotikisa bara zima. Ni mkutano wa vipaji, uzoefu, ushindani na hadhi siku ambayo Afrika…

Soma Zaidi
www.sportsleo.co.tz

Caf Yamla Kichwa Refa Aliyeinyonga Stars Afcon

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limechukua uamuzi mzito kwa kuwaondoa baadhi ya waamuzi waliokuwa wakisimamia mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 linaloendelea nchini Morocco, hatua inayotafsiriwa kama ujumbe mzito wa shirikisho hilo katika kusimamia haki, uadilifu na viwango vya juu vya uamuzi katika mashindano yake makubwa zaidi. Miongoni mwa waamuzi waliopigwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks