Serikali ya Ureno imebainisha kuwa ligi kuu nchini humo itaruhusiwa kurejea tena mwezi May 30, baada ya kusimama kutokana na janga la Covid-19 lililoikuta dunia nzima.
Waziri mkuu wa nchini humo, Antonio Costa ametangaza hilo Jana Alhamisi akisema kurejea kwa ligi hiyo kutaambatana na idhini pia ya mamlaka ya afya huku ikitarajiwa kuchezwa bila mashabaki.
Porto wanaongoza ligi hiyo wakiwa na alama 60 huku Benfica wakiwa nafasi ya pili kwa alama 59 na kila timu ikibakiwa na michezo 10 tu.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.