Klabu ya Kmc inakaribia kumtoa kwa mkopo wa nusu msimu mlinzi wao wa kati David Mwassa kuelekea klabu ya Mbeya city yenye maskani yake jijini Mbeya.
Mwassa alisajiliwa Kmc akitokea Lipuli Fc iliyoshuka daraja,amekosa nafasi kabisa ndani kikosi cha Kmc ambacho kina walinzi wengi vijana kama Lusajo Mwaikenda,Andrew vicent na Ismail Gambo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.