Home Soka Stars Yatolewa Chan

Stars Yatolewa Chan

by Sports Leo
0 comments

Licha ya kujitahidi kulinda mabao mawili iliyoyapata dakika za 23 na 69 kupitia kwa Baraka Majogoro na Edward Charles dakika tisini za mchezo dhidi ya Guinnea zilimalizika kwa sare ya 2-2 iliyowalazimu Stars kuaga michuano ya Chan inayoendelea nchini Cameroon.

Guinnea walikua wa kwanza kupata bao dakika ya 4 kwa penati kupitia kwa Yacouba Barry baada ya Carlos Protas kuunawa mpira ndani ya box huku Stars wakirudi na kufunga mabao mawili lakini dakika ya 82 Victor Cantabadouna alisawazisha na kuipeleka Guinnea hatua ya Robo fainali.

Stars na Namibia zinarejea nyumbani huku Zambia na Guinnea wakisonga mbele katika kundi hilo D.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited