Kiungo wa Yanga anatarajia kuondoka leo jioni kuelekea DR Congo kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa ya nchini humo, kujiandaa na michezo za kufuzu AFCON.
Mukoko ni miongoni mwa nyota 30 walioitwa katika kikosi hicho kinachojiandaa na michezo hiyo kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon ambapo michuano iliyopita nchini Misri Congo ilitolewa mapema.
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli, amethibitisha kuwa mchezaji huyo muda wowote atajiunga na kambi ya kikosi cha Congo.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.