Klabu ya Biashara United imetanganza nafasi ya kazi ya Kocha mkuu kwa ajili ya kuifundisha timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara yenye maskani yake mkoani Mara.
Taarifa hiyo imetolewa na uongozi wa timu hiyo Jana Jumatatu Machi 22 ikiwa ni siku kadhaa baada ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa chama hilo Francis Baraza aliyetimkia Kagera Sugar.
Kwa sasa kikosi hicho kipo chini ya aliyekuwa kocha msaidizi kabla Baraza hajaondoka hapo, Marwa Chamberi.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.