Home Soka Caf Yambana Matola

Caf Yambana Matola

by Sports Leo
0 comments

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa mwongozo kwa klabu zitakazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho msimu ujao wa 2021/2022 ni lazima kocha mkuu awe na leseni A na kocha msaidizi lazima awe na leseni B.
Kwa kocha yeyote ambaye atakuwa hajakidhi vigezo hivyo hataruhusiwa kukaa kwenye benchi la ufundi katika timu yeyote iliyopo katika michuano hiyo.
Hii inamaanisha kuwa vigezo hivi vitambana kocha msaidizi wa Simba Seleman Matola ambaye ana leseni C endapo atakuwa hajajiendeleza na kupata leseni B

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited