Winga wa kimataifa wa England Jadon Sancho amejiunga rasmi na mashetani wekundu manchester united akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa ada ya paundi milioni 77 za Kiingereza.
Sancho amesaini mkataba wa miaka mitano hadi 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi’.
Mchezaji huyo ametambulishwa hivi leo katika viunga vya Carringhton jijini Manchester akikabidhiwa jezi namba 25 mara baada ya kukamlika kusainiwa nyaraka kadhaa zilizokuwa zimebakia.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Usajili huo umeshusha presha kwa mashabiki wa man utd waliokuwa na hofu ya kusajiliwa kwake hasa baada ya kuhusishwa kwa muda mrefu.