Home Soka Ratiba TPL yatoka

Ratiba TPL yatoka

by Dennis Msotwa
0 comments

Bodi ya ligi kuu imetangaza na kutoa rasmi ratiba ya ligi kuu soka Tanzania Bara hii leo katika  mkutano na waandishi uliofanyika katika ukumbi wa mikatano wa TFF Karume.Ligi hiyo inatarajiwa kuanza Setemba 27 mwaka.

Mtendaji mkuu wa bodi hiyo Almasi Kasongo amesema kuwa wametumia muda mrefu kupitia kila kitu na changamoto za msimu uliopita hivyo wamejitahidi kuhakikisha wanaondoa changamoto hizo japo amekiri kuwa huenda suala la viporo lisiepukike.

Ratiba ya ligi hiyo kwa michezo ya raundi ya kwanza ni kama ifuatavyo;

banner

 

1.Mtibwa Sugar vs Mbeya Kwanza (Septemba 27,Jamhuri stadium Morogoro,saa 08:00 mchana).

2.Namungo FC vs Geita Gold FC    (Septemba 27,Ilulu stadium Lindi,saa 10:00 jioni).

3.Coastal Union vs Azam FC            (Septemba 27,Mkwakwani stadium Tanga,saa 10:00 jioni).

4.Dodoma Jiji FC vs Ruvu Shooting(Septemba 28,Jamhuri stadium Dodoma,saa 10:00 jioni).

5.Mbeya City vs Tanzania Prisons   (Septemba 28,Sokoine stadium Mbeya,saa 10:00 jioni).

6.Biashara United vs Simba SC        (Septemba 28,Karume stadium Mara,saa 10:00 jioni).

7.Polisi Tanzania vs KMC FC            (Septemba 29,Ushirika stadium Moshi,saa 08:00 mchana).

8.Kagera Sugar vs Young Africans   (Septemba 29,Kaitaba stadium Kagera,saa 10:00 jioni).

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited