Mabosi wa klabu ya Azam Fc wamefikia makubaliano ya kutemana na kocha wao Rashid Taoussi pamoja na benchi lake la ufundi baada ya kuona kocha huyo hajafikia malengo ya klabu. …
Sports Leo
Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco inavutiwa na huduma ya mshambuliaji Steven Mukwala (25) kutoka Simba sc ambapo sasa mabosi wa klabu wamewasilisha ofa rasmi klabuni hapo. Taarifa zinadai …
-
Klabu ya Simba sc imewasiliana na klabu ya Kaizer Chiefs kuwa haitafanya biashara ya kumuuza winga wao Kibu Denis Prosper ambae anahitajika na klabu hiyo chini ya kocha Nasredine Nabi. …
-
Klabu ya Yanga sc imeendelea na msimamo wake wa kuhitaji fedha zake za ubingwa wa Kombe la shirikisho la Crdb nchini kwa misimu mitatu mfululizo licha ya kuitwa na shirikisho …
-
Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma imesema kuwa haiwezi kuingilia mgogoro unaoendelea kuhusu mechi ya Darby kati ya Simba na Yanga kutokana na kuwepo …
-
Klabu ya Wydad Athletic wameanza safari ya kuelekea nchini Marekani tayari kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu ambayo itaanza kutimua vumbi Juni 15, 2025. Msafara wa …
-
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi kuhusu madai ya klabu ya Yanga sc kuhusiana na fedha za zawadi ya ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB kwa …
-
Benki ya Crdb nchini ambao ndio wadhamini wakuu wa kombe la shirikisho nchini wamekana kudaiwa fedha za aina yeyote zinazohusu michuano hiyo kwa maana wao wameshalipa kwa mujibu wa utaratibu …
-
Klabu ya Simba umesisitiza kuwa mchezo namba 184 kati yao na Yanga Sc upo kama kawaida Juni 15, 2025 hivyo mashabiki wa klabu hiyo wajitokeze kwa wingi kuujaza uwanja wa …
-
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha leo kushiriki kikao maalumu na bodi ya ligi kuu Tanzania kwa ajili ya kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa ligi kuu ya Nbc dhidi …