Arsenal imepokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka Olimpiacos katika mashindano ya ligi UEFA raundi ya 32 yaliyofanyika uwanja wa nyumbani wa Arsenal,Emirates Stadium.
Olimpiaco walianza kujipatia bao la kwanza dakika ya 53 kupitia Pape Abou Cisse huku bao la kusawazisha kutoka Arsenal lilipatikana dakika ya nyongeza baada ya dakika 90 kukamilika ,dakika ya 113 kupitia PierreEmerick Aubameyang.
Bao la pili Olimpiacos lilifungwa pia kwenye nyongeza dakika ya 120 kupitia Youssef Al Arabi na kuipa ushindi kikosi hicho.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.
Katika msimamo wa ligi kuu barani Ulaya Arsenal ipo nafasi ya 9 ikiwa imecheza mechi 27 na pointi 37.