Home Makala Arsenal,Chelsea Nani Baba Lao

Arsenal,Chelsea Nani Baba Lao

by Sports Leo
0 comments

Usiku wa leo pazia litafungwa kwenye moja ya mashindano maarufu Uingereza na Ulaya kwa kushuhudia mchezo mkali wa fainali ya kombe la FA kati ya Arsenal na Chelsea majira ya saa 1:30 katika uwanja wa Wembley.
Wakati wakiwania taji hilo la mwisho kwa msimu huu,awali timu ya Mikel Arteta iliwaondosha Manchester City kwa goli 2-0 katika hatua ya nusu fainali huku upande wa Chelsea iliwatoa Manchester United kwa 3-1 katika hatua hiyo hiyo ya nusu faianali.
Mara ya mwisho Arsenal kufika fainali za kombe la FA ilikuwa mwaka 2017 na kupata ushindi dhidi ya Chelsea, wakati Chelsea ikiwa ni timu iliyoshinda mara nane FA Cup ilifanikiwa kufika fainali kwa mara ya mwisho mwaka 2018.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited