Site icon Sports Leo

As Vita Wapokwa Ubingwa Congo

Klabu ya As Vita imenyang’anywa ubingwa wa ligi kuu nchini Congo baada ya  kupokonywa pointi tisa kwenye ligi kuu  sawa na michezo (3) ambayo walimchezesha mchezaji Zao Matutala ambaye alikua amefungiwa.

Mchezaji huyo Zao Matutala ambaye kwa sasa amefungiwa amefungiwa miezi (12) kujihusisha na soka  alikuwa na kesi kipindi anachezeshwa na As Vita ambapo kesi ilikua katika mahakama ya michezo ya kimataifa(Cas) na sasa baada ya majibu kutoka amekutwa na hatia hivyo mechi zote tatu walizomchezesha wamenyang’anywa points.

Exit mobile version