Chelsea imewapa kichapo cha mabao 4-0 Crystal Palace katika mchuano wa ligi kuu Uingereza (EPL)uliochezwa uwanjani Stamford Bridge leo Octoba 3 ,2020.
Ben Chiwell ambaye ni sajili mpya ya Chelsea akitokea Leicester City kwa kima cha bilioni 6.3 alianza kupachika bao lake la kwanza dakika ya 50 huku bao la pili likipachikwa dakika ya 50 na Kurt Zouma.
Bao la tatu na la nne ambayo yanakamilisha 4g ya Chelsea yalipachikwa kimiani na nyota wao Jorginho kutokana na mpira wa adhabu dakika ya 78 na 82.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.