Home Makala Conte Hatihati Kubebeshwa Virago Inter Milan

Conte Hatihati Kubebeshwa Virago Inter Milan

by Sports Leo
0 comments

Antonio Conte yupo kwenye hatihati ya kubebeshwa virago vyake ndani ya Inter Milan baada ya kupigwa kichapo cha mabao 3-2 na Sevilla usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Rhein Energie Stadion,na kupoteza taji la Europa League mazima.

Kocha huyo aliambulia kadi ya njano baada ya kuingia kwenye mzozo na mchezaji wa Sevilla,Ever Banega baada ya kujibizana kuhusu masuala ya nywele.

Mabao ya Inter Milan yalifungwa na Lukaku dakika ya 5 kwa penalti na Diego Godin alipachika dakika ya 35 huku yale ya Sevilla yakifungwa na Luuk de Jung dakika ya 12 na 33 na lile la ushindi la kujifunga Lukaku ilikuwa dakika ya 74.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited